WIZARA YA AFYA YAJA NA UBUNIFU WA KUTUMIA LUGHA MAMA ELIMU YA SURUA KATAVI

Na.Elimu ya Afya kwa Umma, Mpimbwe Katavi. Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Elimu ya Afya Kwa Umma kwa kushirikiana na Halmashauri ya Mpimbwe waanza uelimishaji umuhimu wa Chanjo ya Surua kwenye mikusanyiko ya watu  kwa kutumia  ubunifu wa Kabila la Asili la Kisukuma. Hatua hiyo ni kuhakikisha kila jamii inafikiwa  na Ujumbe ambapo  uelimishaji Kwa kutumia magari ya